Ni miaka saba sasa tangu Marioo aachie wimbo wake wa kwanza 'Dar Kugumu'(2018). Licha ya kuwa wakati msanii huyo anaingia ...
Serikali imesema iko katika hatua za mwisho kukamilisha mwongozo utakaoangalia jinsi ya kuwaingiza katika mfumo watumishi ...
Padri Mihali aliteuliwa jana Jumanne, Januari 28, 2025, kuchukua nafasi ya Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa, baada ya kuridhia ...
Amesema bado Bunge linafanyia kazi sehemu hizo mbili za muswada huo na litakapokamilisha kazi hiyo, utafanyika kwa utaratibu ...
Aidha, amesema katika mwaka wa fedha 2021/2022, Serikali ilipeleka Sh1 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa vituo vya afya vya ...
Wastani wa watu 16 wakiwemo watoto wenye umri chini ya miaka mitano na wajawazito hufariki kila wiki moja kutokana na ugonjwa wa malaria ndani ya kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu iliyopo ...
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge, na Madiwani Oktoba mwaka huu, Manispaa ya Lindi jana imeanza uboreshaji wa daftari ...
Kwa mujibu wa mtandao wa kuhifadhi taarifa za mabondia duniani, boxrec unaonyesha pambano hilo ndiyo lilikuwa la kwanza kwa Mnemwa na mpinzani wake katika ngumi za kulipwa, akipewa namba ...
Licha ya kaya 121 kuhitimu kutoka Mpango wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) katika Shehia ya Chumbuni Mkoa wa Mjini, zimeeleza ...
Simbailikuwa na ofa sita mezani kutoka timu tofauti zikihitaji wachezaji wake dirisha dogo la usajili lililofungwa Januari 15 ...
Wadau wa zao la mwani kisiwani hapa wameziomba taasisi za mwani kufanya tafiti ya kilimo hicho ili kujua madini yaliyomo kwa lengo la kupata uhakika wa kitaalamu unaothibitisha ubora wa ...
Wakati awamu ya pili ya uandikishaji wa daftari la mpigakura ikitarajia kuanza Februari Mosi, Mwenyekiti wa Chama cha ACT ...