Asha Mayenga (62), alitoweka nyumbani kwake tangu Januari 13, 2025 kisha mwili wake kupatikana ukiwa umefukiwa kwenye ...
Mitaa mbalimbali ya Jiji la Dodoma imepambwa kwa bendera za CCM na picha za mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan.
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali, akiwemo Dk Grace Magembe ambaye ameteuliwa kuwa ...
Mawakili wa mwanasiasa mkongwe nchini, Dk Wilbroad Slaa, anayekabiliwa na kesi ya jinai katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ...
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Arusha limeopoa mwili wa Mbaruku Mussa (41), mkazi wa kata ya Olmoti jijini Arusha, ...
Watumishi wa Mahakama nchini wametakiwa kuongeza imani kwa wananchi kwa kusimamia utaoji haki ulio sawa ili wananchi watumie ...
Mwenyekiti wa Chadema na mgombea wa nafasi hiyo, Freeman Mbowe (katikati), akizungumza wakati akifanya mahojiano na wahariri na waandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd yaliyofanyika makao ...
Dar es Salaam. Wakati mchakato wa kuhesabu kura kuwapata viongozi wapya wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) ukiendelea ...
Siha. Mkuu wa Wilaya ya Siha, mkoani Kilimanjaro, Dk Christopher Timbuka amesema mpaka Januari 15, mwaka huu jumla ya ...
Unguja. Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), inatarajia kuandikisha wapigakura wapya 78,922 waliotimiza umri wa miaka 18 kwa ...
Katika matukio hayo, baadhi ni ya watu wanaodaiwa kutekwa na kukutwa wameuawa, miili kuokotwa barabarani ikiwa imeharibika na ...
Alipotafutwa Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Tarime Rorya, ACP Mark Njera, kuthibitisha tukio hilo, amesema bado hajapata ...