Kikosi cha Simba kinaendelea kujifua kwa ajili ya mchezo wa mwisho wa Kundi A katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, ...
Rushwa imekuwa changamoto inayoikumba jamii katika nyanja mbalimbali, zikiwamo za taasisi binafsi na Serikali. Mbali na suala ...
Kula vyakula vyenye kiwango kidogo cha wanga na vyenye kiasi kidogo cha sukari pamoja na makapi mlo, hii inaweza kusaidia ...
Ukisoma taarifa ya taasisi ya International Peace Insitute (IPI) ya mwaka 2011, inaonyesha kati ya 1990 na 2010, nchi ...
Kisayansi oestrojeni ni homoni ya kike inayozalishwa na ovari (mayai) ambayo kazi yake kubwa ni kuhakikisha ukuaji wa viungo ...
Uchaguzi wa viongozi wa kitaifa wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), umeingia siku ya pili, huku usiku wa kuamkia leo ...
Yanga inatarajiwa kushuka uwanjani kesho Jumamosi katika mchezo ulioshikilia hatma ya kwenda robo fainali ya Ligi ya Mabingwa ...
Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Geita, kimekerwa na kasi ndogo ya ujenzi wa barabara za mradi wa Tactic zenye urefu wa ...
Dar es Salaam. Ikiwa ni njia moja wapo ya kuchochea huduma bora kwa wananchi, idara ya maendeleo ya jamii kitengo cha mikopo ya asilimia 10 wa manispaa ya Kinondoni wamepokea misaada ya viti ...
Kila mtu ni mstaafu mtarajiwa anayepaswa kuyafanyia kazi yanayomhusu yeye na wastaafu wenzake anaowaona leo watakaokuwa wenzake kesho, waweze kustaafu salama salimini wakiwa na amani.
Ushirikiano baina ya NIC na Equity Bank unaweza kubadilisha kadhia ya wakulima kwa kufanya bima ipatikane kwa urahisi na gharama nafuu.
Hatimaye Askari wa Jeshi la Polisi wamewasili katika Ukumbi wa Ubungo Plaza, kuimarisha ulinzi. Kuwasili kwa askari hao, ...