Chaulo amesema Desemba 31, mwaka 2024, watumishi hao wakiwa katika majukumu yao ya kazi za kawaida za ukaguzi walibaini kuwa ...
Amesema mpaka sasa bado hafahamu huyo aliyemchukua mtoto wake ana nia gani, kwani amesema mtoto wake ni mdogo na muda mwingi ...
Alipotafutwa Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Tarime Rorya, ACP Mark Njera, kuthibitisha tukio hilo, amesema bado hajapata ...
Mbowe amesema iwapo atashinda tena, atapeleka pendekezo kwa mkutano mkuu kuwa uongozi uwe unakaa miaka mitatu ili kutoa chama ...
Nida imefanya kazi ya uzalishaji na usambazaji wa vitambulisho vya taifa kwa umma tangu Oktoba 12, 2023, na linatarajiwa ...
Akizungumzia madai kwamba Chadema imekuwa na msimamo legevu dhidi ya Serikali tangu yeye kukutana na Rais Samia, Mbowe ...
Miili ya marehemu ilitolewa kutoka shimoni na kuhifadhiwa katika Hospitali ya Somanda mjini Bariadi, huku majeruhi akitibiwa ...
Simba inaendelea kujifua kwa ajili ya pambano la mwisho la Kundi A la Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine ya ...
Mwili wa askari mmoja haukupatikana eneo la tukio, ikielezwa huenda uliliwa na wanyama kwa kuwa kilipatikana kipande cha ...
Gari hilo aina ya Tata, lilikuwa limeteleza na kuacha barabara lakini halikusababisha madhara yoyote kwa binadamu.
Baada ya kuwepo kwa tetesi kuhusiana na tuzo za Oscars kuahirishwa kufuatiwa na tukio la moto lililotokea jijini Los Angeles ...
Yanga imekamilisha usajili wa mshambuliaji anayemudu pia kucheza winga wa kushoto, Jonathan Ikangalombo kutoka AS Vita, ...